资讯

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanzishwa kwa majimbo mapya nane ya uchaguzi pamoja na kubadilishwa kwa majina ya majimbo mengine 12, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu ...
Hatimaye, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo saa 2:52 asubuhi akiwa chini ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi ...
Mamia ya raia waliuawa na maelfu ya wengine kujeruhiwa katika mapigano hayo kati ya majeshi ya Uganda na Rwanda katika mji huu wa Kongo. Lakini robo karne baadaye, hakuna uchunguzi wowote wa ...
Waziri mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Augustin Matata Ponyo amehukumiwa kifungo cha miaka kumi jela na kazi ngumu baada ya kutiwa hatiani kwa ufisadi. Kufuatia mapambano ya ...
Hali ya usalama illimarishwa katika maeneo yanayozunguka viwanja vya mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam, wakati wa kusikilizwa kwa kesi ya Lissu. Picha: Florence Majani/DW Kituo cha ...
Bodi ya kudhibiti matangazo ya michzo ya kamari, imesema kwa siku za hivi karibuni matangazo hayo yameongezeka kwa kiasi kikubwa na kuchangia vijana wengi kujiingiza kwenye michezo ya kamari kwa ...
Nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 2024/25 inaleta pambano la kipekee kati ya Arsenal na Paris Saint-Germain. Hii ni mara ya kwanza kwa timu hizi mbili kukutana katika hatua ya nusu ...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi, akimkabidha moja ya vitendea kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari, Tirdo Mhando wakati wa hafla ya ...
KATIKA kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan, Serikali imeongeza ufadhili, kuboresha miundombinu ya kisasa na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa, hatua ambazo zimeleta ...
睚眦必报是一个成语,出自于司马迁的《史记·范雎蔡泽列传》:“一饭之德必偿,睚眦之怨必报。”意思是指极小的怨恨也要报复。 睚,读作(yá),由“目”和“厓”组成,“目”的甲骨文和金文字形都像是人眼睛的样子,本义指眼睛,引申为看。目字旁 ...
Droo ya mashindano mapya ya kombe la Dunia kwa ngazi ya Klabu itafanyika leo Marekani ambapo jumla ya timu 32 zitagawanywa kwenye makundi nane ya timu nne. Awali, mashindano haya yalikuwa yanafanyika ...
HAKUNA zaidi ya hesabu wikiendi hii kwenye Ligi Kuu Bara. Zinapigwa mechi tatu muhimu kwenye Ligi Kuu Bara ingawa kwa namna yoyote haziwezi kumchomoa aliyeko kileleni. Lakini ni turufu muhimu kwenye ...