资讯

Mwanamume Uingereza ambaye ndiye mtu pekee aliyenusurika katika ajali ya ndege ya Air India Alhamisi anasema alifanikiwa kutoka kwenye mabaki hayo kupitia sehemu iliyokuwa wazi kwenye ndege hiyo.
Mashambulizi ya hivi karibuni yanayoripotiwa kufanywa na Israel dhidi ya Iran yamezua taharuki kubwa duniani, yakionesha wazi undani na hatari ya mzozo wa muda mrefu kati ya mataifa haya mawili ...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imezindua rasmi Kituo cha Mawasiliano chenye lengo la kuimarisha mawasiliano na kuwahudumia kwa ufanisi wadau mbalimbali wa sekta ya elimu nchini. Akizungumza ...
Katika kuhakikisha elimu ya nishati safi ya kupikia inamfikia kila Mtanzania, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Lazaro Twange ametumia sehemu ya ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya umeme katika ...
Dar es Salaam. Serikali imewasilisha bajeti ya kimkakati kwa mwaka wa fedha 2025/26, ikilenga kuiweka nchi katika nafasi imara ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Katika mkakati huo, imeelekeza ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo akiongoza shughuli ya kutetekeza bangi iliyofyekwa kwenye mashamba yenye ukubwa wa zaidi ya ekari nne katika Kijiji cha Mekomariro wilayani Bunda. Picha na ...
Siku moja baada ya marufuku ya kusafiri iliyotangazwa na Donald Trump siku ya Alhamisi, Juni 5, kuanza kutekelezwa, Chad na Congo-Brazzaville, zote zikiwa kwenye orodha ya nchi 12 ambazo raia wake ...
Akitarajia jibu la Jamhuri ya Kiislamu, Waziri wa Ulinzi wa Israeli ametangaza hali ya hatari nchini humo. Ikishuku kuwa Tehran inataka kupata silaha za nyuklia, Israeli imtangaza usiku wa ...