Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, ameonya kwamba mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaweza ...
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kibiti, Mkoa wa Pwani, Mohamed Seif, ameonyesha wazi nia yake ya kumuunga mkono Freeman Mbowe katika Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho unaotarajiwa ...
KATIKA kipindi cha miaka 25 iliyopita, Tanzania imetekeleza dira ya maendeleo ya taifa 2025, ambayo ililenga kuinua uchumi wa nchi hadi hadhi ya kipato cha kati. Dira hiyo iliyoanza kutumika mwaka ...
KATI ya mambo ambayo yamekuwa yakijirudia sana kwa Harmonize pindi anapokuwa katika uhusiano mpya, ni kuwatumia warembo ...
Alisema Peter Maroko. Kwa upande wake, waziri wa afya nchini Kenya, Debora Barasa amesema wameanza kufanya mazungumzo na viongozi wa wauguzi hao. ‘‘Kuhusu huo mgomo tuna ufahamu, kwa sasa ...
SERIKALI imewaomba wadau wa soka kuunga mkono timu ya taifa ‘Taifa Stars’ katika maandalizi ya kujiandaa na michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani ‘CHAN’ yatakayofanyika Agosti mwaka huu ...
Dar es Salaam. Muimbaji wa muziki wa Injili nchini, Rehema Simfukwe amevunja ukimya kwa mara ya kwanza na kueleza sababu zilizomsukuma kutunga wimbo wake maarufu "Chanzo", ambao umekuwa ukiwagusa ...
Naibu Waziri wa Mawasiliano,Teknolojia na Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi akiangalia mifumo ya uendeshaji wa kituo cha mkongo wa Taifa kilichojengwa Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya kitakacho ...
Video ya wimbo wa Dizasta aliouachia hivi ... kujadiliana kunapunguza hata gharama ya uandaaji wa video hizo. Kwa sababu nina uhakika video inayoonyesha picha za watu maarufu waliofariki dunia ...
Kubali Dhibiti chaguo langu Rais wa CAF, Dr Patrice Motsepe, alisema: "Tunafurahi kwa michuano ijayo ya TotalEnergies CAF African Nations Championship (CHAN) 2024 itakayofanyika Kenya, Tanzania na ...
DAR-ES-SALAAM : KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’i Issa, amependekeza kuwa wafanyabiashara wadogo wapewe elimu ya sheria ya kodi, kwani wengi wao hawana ...
Katika michuano hiyo, Stars haijawahi kushinda mchezo wowote zaidi ya kuambulia sare kama ilivyofanya katika michuano ya mwaka huu. Hiyo ilikuwa motisha katika kuhakikisha wachezaji wa Taifa Stars ...