Inaelezwa kuwa malori karibu 100 yakiwa na shehena za mizigo yaliyotoka hapa nchini yamekwama DRC huku mengine yakishindwa ...
Baada ya mchakato wa muda mrefu hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la mwaka 2023, huku akitaja mambo matatu yalimsukuma kutaka ...
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limeongeza safari za treni la daladala maarufu ‘Mwakyembe’, kutokana na mahitaji ya usafiri ...
WAKATI hatima ya nyota wake watatu waliopewa uraia wa Tanzania ikiwa bado chini ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF), kikosi cha Singida Black Stars k ...
NI wazi kuwa Barakah The Prince ni miongoni mwa wanamuziki waliojaliwa vipaji vikubwa hasa upande wa uandishi, sauti na ...
KIUNGO mshambuliaji wa Kagera Sugar, Peter Lwasa amesema anatamani mzunguko wa pili wa Ligi Kuu afunge mabao matano na ...
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yusuf Masauni amesema Serikali ya Tanzania imechukua hatua za kuimarisha ...