资讯
NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu amesema Kigoma si mkoa wa kupatia cheki namba (ajira) na kuhama kwa visingizio vya kuifuata familia au ugonjwa.
Mwenyekiti wa Kamati ya PIC, Augustino Vuma Holle amesema hayo akiongoza kamati hiyo kutembelea utekelezaji wa mradi huo kipande cha Tabora hadi Kigoma Lot 6 ambapo wamefurahishwa mradi kutekelezwa na ...
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Tumbaku Tanzania,Stanley Mnozya, amesema hayo leo (April 17, 2024) wakati wa mkutano wa mwaka 2024 ambao unawashirikisha washiriki kutoka mikoa inayozalisha tumbaku ambayo ...
Amevita viwanja vitakavyofungwa mitambo hiyo kuwa ni Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Abeid Amani Karume Zanzibar, Songwe, Pemba, Mwanza, Tabora, Kigoma, Dodoma Mtwara, Tanga, ...
KIPANDE cha ujenzi wa reli ya kati Tabora- Kigoma kitagharimu dola za Marekani bilioni 2.7 sawa na shilingi trilioni 6.34. Reli hiyo ambayo mkataba wake umesainiwa leo Desemba 30, 2022 SGR LOT 6 ...
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema utiaji saini wa ujenzi awamu ya pili wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha kkutoka Tabora kwenda mkoani Kigoma ...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi,Benjamin Kuzaga katikati akitoa taarifa ya operesheni maalum iliyofanywa na Jeshi la Polisi katika mikoa mitatu ya Katavi, Kigoma na Tabora. kushoto ni kamanda wa ...
Nchini Tanzania mafunzo ya kilimo hifadhi yaliyotolewa mwaka jana na shirika la chakula na kilimo la Umoja wa MAtaifa, FAO kwa wakulima mkoani Kigoma yameanza kuzaa matunda na wakulima ndio mashahidi.
Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa –FAO- nchini Tanzania, chini ya programu ya pamoja ya Kigoma au Kigoma Joint Program, KJP wameendesha mafunzo ya kilimo hifadhi kwa wakulima mkoani ...
Nguruka ikiwa ndio stesheni ya kwanza unapoingia Mkoa wa Kigoma, Diamond alikutana na umati wa watu ukimsubiri. Tofauti na stesheni nyingine alizopita katika mikoa ya Morogoro, Singida na Tabora, ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果