Mkutano huu unatarajiwa kuzinduliwa na Rais Samia Suluhu Hassan huku ukitanguliwa na mafunzo yanayotarajiwa kufanyika Machi 4, jijini hapa.
Trump alisema shambulizi hilo, chini ya wiki mbili tangu alipoapishwa, lililenga mpangaji mkuu wa mashambulizi wa IS na ...
Baada ya shambulizi la hivi majuzi rais wa Somalia alionesha hali ya kukata tamaa, askikiri "umuhimu wa msaada wa Marekani ...
Rais Donald Trump wa Marekani amesema aliagiza mashambulizi ya anga ya kijeshi dhidi ya mpangaji mkuu wa mashambulizi na wanachama wengine wa kundi la kigaidi la ISIS nchini Somalia.
Mizozo inayosibu ukanda wa Afrika ya Mashariki inaendelea kuongezeka, ikiwemo Sudan Kusini na sasa DRC. Viongozi wa Afrika ...
Marais zaidi ya 20 wa nchi za Afrika wamekutana nchini Tanzania leo Jumanne kujadili sekta ya nishati ya uhakika hadi ifikapo ...
MAREKANI kupitia Idara ya Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha (ICE) pamoja na Operesheni ya Utekelezaji na Undoaji (ERO), ...
DAR ES SALAAM: AZIMIO la kuwaunganishia umeme Waafrika milioni 300 linatarajiwa kusainiwa nchini kwenye Mkutano wa Nishati ...
RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuvunja na kuandika rekodi ya kuwa Rais aliyepokea idadi kubwa ya Wakuu wa Nchi (35) ...