Hii leo, nchini Tanzania kunafanyika maadhimisho ya kuenzi miaka 100 ya aliyekuwa baba wa taifa hilo mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kilele cha maadhimisho hayo kinafanyika kijijini kwake ...
Maelezo ya picha, Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere Aliungwa mkono na Daktari Cyprian Lwanga ambaye ni Askofu wa kanisa la Archdiocese ya Kampala ambaye aliongoza misa hiyo takatifu.