资讯

Tukirejelea hotuba yake, Museveni aliomba radhi jamii ya Buganda kwa makosa ambayo yametokea. Baadaye, msemaji wa ufalme wa Buganda Bw Israel Kizibwe Kitooke, alimtaka rais huyo kukumbuka aliyoahidi.