Amesema baada ya kumaliza hatua hiyo walichukua vifaa mbalimbali vya ndani pete ya ndoa kisha wakaondoka naye kuelekea nje ambako walichukua kuku waliokuwa ndani ya banda na kuomba ufunguo wa gari ...