Vilevile, kimetoa tahadhari kwa wanachama, wagombea na mawakala au wapambe wao, kuzingatia Katiba, miongozo, kanuni, taratibu na itifaki ya chama hicho katika mchakato mzima wa uchaguzi na kwamba ipo ...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara Baruti.
Serikali na sekta binafsi katika nchi yoyote hufanya juhudi za kuhakikisha inakuza mahusiano ya kibiashara na uwekezaji kwa ajili ya kupata uhakika wa bidhaa zinazohitajika, lakini pia masoko ya ...
Na Asha Juma & Ambia Hirsi Mkataba wa kusitisha mapigano utatekelezwa kwa awamu kadhaa kwa mujibu wa maelezo yaliyokuwa yamevujishwa hapo awali. Awamu ya kwanza ni usitishaji mapigano wa wiki sita.
Imeelezwa katika taarifa ya polisi kuwa watoto hao wamepatikana wakiwa kwa mganga wa kienyeji Kimara Baruti, jijini Dar es Salaam. Watoto hao, wakazi wa Tandika, jijini Dar es Salaam, ni Husna Gulam ...