Washtakiwa wanne, wanaokabiliwa na mashtaka 49 yakiwemo ya kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu mwingine na kutakatisha Sh5 milioni, wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Picha ...
Geita. Wadau wa Mahakama Mkoa wa Geita wamesema licha ya uendeshaji wa Mahakama kwa njia ya mfumo wa teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) kuwa na tija, bado jamii ina uelewa mdogo kuhusu ...
Vilevile, kimetoa tahadhari kwa wanachama, wagombea na mawakala au wapambe wao, kuzingatia Katiba, miongozo, kanuni, taratibu na itifaki ya chama hicho katika mchakato mzima wa uchaguzi na kwamba ipo ...
Wizara ya Sheria nchini Marekani imesema aliyekuwa mshauri mwandamizi wa Benki Kuu ya Marekani amekamatwa na kushitakiwa kwa makosa ya kula njama ya kuiba siri za kibiashara za benki hiyo kwa ...
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC ...
Viongozi hao waliokutana kupitia kwa njia ya mtandao Jumatano usiku, wameitaka serikali ya DRC kupitia rais wake Felix Tshisekedi kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na washika dau wote ...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara Baruti.