资讯

WAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) umesema una akiba ya kutosha ya chakula katika maghala yake. Mkurugenzi Mkuu wa NFRA, Dk Andrew Komba amesema wameongeza uwezo wa kuhifadhi chakula cha ...
Jaribio hilo sasa kwa kiasi kikubwa limemalizika kwa kurudi kwa kushangaza kwa biashara-kama-kawaida. Sehemu moja muhimu ya jaribio ilikuwa kuhakikisha kuwa wanafunzi wa shule za umma wanapata chakula ...
Tangu ripoti za kupotea kwa zaidi ya magunia 100 ya chakula cha msaada kilichotarajiwa kuwafikia wananchi kutoka ghala la serikali eneo la Sololo jimboni Marsabit kuanza kuenea, wadau wanaonekana ...
Dar es Salaam. Wakati msimu wa mwaka mpya wa masomo kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ukianza Januari 9, 2023 Halmashauri ya Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam imejiwekea lengo la ...
Wadau wa masuala ya lishe nchini wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufunguliwa kwa kikao kazi cha siku mbili kinachofanyika mkoani Morogoro.Kikao kililenga kuweka mkakati wa pamoja wa namna ya ...
Programu ya habari ya Afrika Upya inapeana habari mpya na uchambuzi wa changamoto kuu za kiuchumi na maendeleo zinazoikabili Afrika leo. Inachunguza maswala mengi yanayowakabili watu wa Afrika ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeishauri serikali kufanya tathmini ya kina ya usimamizi wa masuala ya chakula kurejeshwa chini ya Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA), ili ...
Leo ni siku ya kimataifa ya siku ya chakula duniani ambapo shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo, FAO linasema usalama wa chakula ni muhimu sana kwa sababu chakula kisicho salama ni hatari ...
Hebu fikiria kila mwaka mtu 1 kati ya 10 huugua baada ya kula chakula kisicho salama! Hizo ni takwimmu zilizotolewa siku ya leo ambayo ni maadhimisho ya 4 ya siku ya kimataifa ya usalama wa chakula ...
Mifumo ya chakula ni muhimu kwa binadamu, wanyama, uchumi na kwa mazingira. Ardhini na baharini mifumo yetu ya chakula na maji safi hutegemea malighafi, ila ongezeko la idadi ya watu, mabadiliko ya ...
Watu wengi wameapa kuwa wataanza kufanya mazoezi, kula matunda zaidi na kula mboga zaidi kama sehemu ya maazimio ya Mwaka Mpya. Lakini je, itakuwaje ikiwa maazimio ya mwaka huu hayatajihusisha tu na ...
Karibu tani bilioni 1.3 za chakula hutupwa kila mwaka, hali ambayo huchangia kwa kiasi kikubwa mabadiliko ya tabia ya nchi. Mabaki ya chakula '' ni moja kati ya matatizo makubwa yanayokabili ...