资讯

Wanajeshi saba wa Uganda wameuawa nchini Somalia, katika makabiliano makali ya siku tatu, kudhibiti mji wa Sabiid-Anole kutoka kwa magaidi wa Al Shabab kwenye jimbo la Shabelle.