Mwimbaji wa Bongo Fleva, Lady Jaydee, 45, mwaka huu unaadhimisha miaka 25 tangu ametoka kimuziki na sasa anaheshimika na wengi kama msanii aliyeweza kuwa katika kilele cha mafanikio ya kazi ...
STORI zilizoagaa kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari ni kuachana kwa msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu ...
UKARIBU wa Maua Sama na Alikiba haujawahi kufafanuliwa hadharani, lakini wote ni wanamuziki wanaofanya vizuri kwenye tasnia ya Bongo Fleva.
Muziki wenye miondoko ya taratibu maarufu kama Kompa Fleva ... kiwanda cha Bongo Fleva kwa kuiteka jamii ya Watanzania kutokana na muundo wake wa kipekee. Mtandao wa ‘Audiomack Africa’ umeweka wazi ...