Mwanamuziki Diamond Platnumz mbali na kutoa ngoma kali kama ‘Komasava’ lakini pia anatajwa kuiunganisha Bongo Fleva na muziki wa Congo. Huku akileta ladha tofauti pamoja na kukusanya mashabiki ...