Arusha. Kampuni ya Utalii ya Leopard Tours imetoa pikipiki 20 kwa Jeshi la Polisi ili kuimarisha usalama na kukuza sekta ya utalii mkoani Arusha. Pikipiki hizo zimekabidhiwa leo Ijumaa Januari 24, ...
BAADA ya jana Jumatatu michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025 kuendelea kwa mzunguko mwingine baada ya Januari 3 na 4 kupigwa mechi mbili, leo ni zamu ya Kilimanjaro Stars dhidi ya Kenya kujiuliza.