Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (katikati) akiwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu (kulia), kushoto ni mbunge wa Hai, Saashisha Mafue wakikagua eneo litakalojengwa daraja jipya la Kikafu ...
Arusha. Kampuni ya Utalii ya Leopard Tours imetoa pikipiki 20 kwa Jeshi la Polisi ili kuimarisha usalama na kukuza sekta ya utalii mkoani Arusha. Pikipiki hizo zimekabidhiwa leo Ijumaa Januari 24, ...