资讯

NMB Foundation kwa kushirikiana na kampuni ya Mwani Zanzibar (ZASCO) wamezindua mafunzo endelevu kwa Wakulimwa wa Mwani Unguja na Pemba, ambapo Serikali ya Mapunduzi ya Zanzibar (SMZ) imeipongeza na ...
Naibu Meneja Mkuu wa Kampuni ya The Guardian Ltd (TGL) inayochapisha magazeti ya The Guardian na Nipashe, Jackson Paul (wa pili kulia), akim-karibisha Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza ...
ILE Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kati ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars, wakati wowote inaweza kurejea Zanzibar,huku tarehe ikiwa bado haijajulikana. Ikumbukwe kuwa, Fainali iliyopita ...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango wa maboresho ya huduma za bandari uliondaliwa na Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kwa kushirikiana na Taasisi ya ...
Jambiani, Kibanda maiti, Kaburi Kikombe, Chokocho, Mangapwani, Makunduchi,Saateni, Kijito upele, Bububu, Mlandege na mengineyo. Ni majina yanayomvutia msikilizaji kutaka kujua maana yake. Huu ndio ...
ZANZIBAR: WIZARA ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi inaendelea kuwezesha wajasiriamali na wananchi kwa kuwapatia elimu, uelewa na ufahamu katika ajenda ya uchumi wa buluu. Uwezeshaji huo ni sehemu ya ...
Serikali ya Zanzibar imetoa vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319 ambao wameishi nchini kwa zaidi ya miaka 50 wakiwa na asili ya mataifa jirani ya Comoro, Msumbiji ...
Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar ameteuwa tume mpya ya uchaguzi ambayo baada ya kipindi kirefu imechukuwa wajumbe wawili kutoka chama kikuu cha upinzani, ACT Wazalendo, ambacho pia ni mshirika ...
Amesema watu 59, 851,357 wapo Tanzanzia Bara na watu 1,889,773 wapo Tanzania Zanzibar. Sensa ya watu na makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini, kuchapisha na kusambaza takwimu za ...
Juma hili mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya mapinduzi ya Zanzibar, kabla ya kukuletea Historia ya Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar, sikiliza na makinikia zaidi. usiikosi ...