资讯

ZANZIBAR; BAADHI ya mashabiki wa Simba wakiingia Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kushuhudia mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya timu hiyo na Stellenbosch FC ya ...
Naibu Meneja Mkuu wa Kampuni ya The Guardian Ltd (TGL) inayochapisha magazeti ya The Guardian na Nipashe, Jackson Paul (wa pili kulia), akim-karibisha Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza ...
ZANZIBAR: SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imetangaza kuwa haitenganishi watoto na familia zao, lakini inachukua hatua za kuwalea watoto wanaokumbwa na changamoto kama vile kutupwa au kutelekezwa. Naibu ...
Msajili wa Hazina Zanzibar, Waheed Mohammad Ibrahim Sanya akizungumza kuhusu kufanyika kwa mara ya kwanza tuzo za umahiri wa habari za maendeleo Zanzibar. Unguja. Kwa mara ya kwanza Zanzibar imeandaa ...
Dar es Salaam. Yanga imepanga kutumia mafanikio yake ya uwanjani kupaisha utalii wa Zanzibar ambapo sasa haitoishia kuvaa jezi za kuitangaza Zanzibar tu bali kutoa elimu kuhusu vivutio tofauti vya ...
Katika juhudi za kuimarisha utalii wa ndani na kikanda, Kamisheni ya Utalii Zanzibar (ZCT) imeingia ushirikiano na klabu ya Yanga wakisaini mkataba wa kutangaza vivutio vya Zanzibar kupitia kauli mbiu ...
Katika ardhi yenye ladha ya bahari na harufu ya historia, Zanzibar patakuwa na mchezo wa haja Jumapili hii: Simba SC ya Tanzania wakikabiliana na wageni waliokuja kushangaza, Stellenbosch FC ya ...
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui, kwa kushirikiana na Kamati ya Afya ya Mkoa wa Dar es Salaam, wamezindua rasmi Wiki ya Afya ya Zanzibar itakayofanyika mwezi Mei mwaka huu visiwani humo ...
Simba imesema inawahi Zanzibar siku nne kabla ya mchezo huo wa nusu fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikishio Afrika utakaochezwa Aprili 20 mwaka huu kwenye Uwanja wa New Amaan Complex ...