WAZIRI wa Mawasiliano na Tekinolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema serikali imepanga kuimarisha Mawasiliano kwa kuunganishwa mtandao wa mkongo wa Taifa kutokea nchi jirani ya Kenya. Waziri Silaa ...
Makumi ya waandamanaji wa Kenya waliitikia Jumatatu Desemba 30 ... waandamanaji hao walikataa kuondoka na kuimba wimbo wa taifa. Wimbi jipya la utekaji nyara, katika chimbuko la maandamano ...
Hata hivyo, kuna kazi ambazo alifanya na wasanii wa kimataifa na baadaye kugeuka shubiri kwake, miongoni mwa hizo ni 'Hallelujah' kutoka kwenye albamu yake ya tatu, A Boy From Tandale (2018) ...
Januari hii tumetimiza miaka 46 toka alipofariki Mbaraka Mwinshehe, mtunzi, mpiga gitaa la solo na muimbaji mashuhuri, lakini bado jina lake linakumbukwa katika anga za muziki Afrika ya Mashariki ...
SERIKALI imewaomba wadau wa soka kuunga mkono timu ya taifa ‘Taifa Stars’ katika maandalizi ya kujiandaa na michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani ‘CHAN’ yatakayofanyika Agosti mwaka huu ...
Ushirikiano huu umeonyesha muunganiko mzuri wa kikazi kati yao, na kila walipoingia studio pamoja wameweza kutoa nyimbo zilizopokewa vyema na mashabiki. Waimbaji hao wanaendelea kufanya vizuri na ...
Idadi ya magari ya umeme inaripotiwa kuongezeka barabarani na kwa Kenya, mradi wa Tusonge na EVs , unaosimamiwa na shirika la umoja wa mataifa la mazingira, UNEP, ulizinduliwa miezi tisa iliyopita.
Sehemu kubwa ya umati wa Juba walijiunga na wimbo wa taifa wa Sudan kabla ya mechi hiyo, ambayo Sudan ilishinda 3-0. Appiah anasema ilileta "umoja kwa kiasi kikubwa" kwa nchi zote mbili.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amehitimisha ziara yake ya siku tatu nchini Lebanon, akionesha matumaini kwa mustakabali wa taifa hilo huku akitoa wito wa usaidizi wa kimataifa kwa ...
WASHIRIKI wa kozi ya 13 kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Tanzania wametembelea katika Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha TARI Naliendele mkoani Mtwara ili kujifunza mambo mbalimbali kiwemo usalama ...