WAZIRI wa Mawasiliano na Tekinolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema serikali imepanga kuimarisha Mawasiliano kwa kuunganishwa mtandao wa mkongo wa Taifa kutokea nchi jirani ya Kenya. Waziri Silaa ...
Januari hii tumetimiza miaka 46 toka alipofariki Mbaraka Mwinshehe, mtunzi, mpiga gitaa la solo na muimbaji mashuhuri, lakini bado jina lake linakumbukwa katika anga za muziki Afrika ya Mashariki ...
Idadi ya magari ya umeme inaripotiwa kuongezeka barabarani na kwa Kenya, mradi wa Tusonge na EVs , unaosimamiwa na shirika la umoja wa mataifa la mazingira, UNEP, ulizinduliwa miezi tisa iliyopita.
Dar es Salaam. Mkali wa Bongo Fleva kutoka TMK Wanaume Family, Chege kwa miaka zaidi ya 20 ametengeneza nyimbo nyingi kubwa ndani ya kundi hilo na akiwa pekee yake akifanya kazi na wasanii wa ndani na ...
Sekta ya mitumba inauwezo wa kuchangia mabilioni ya fedha katika mapato ya taifa, pamoja na kutoa maelfu ... 60 kwa vijana nchini Msumbiji, Ghana na Kenya. Lakini hata hivyo wanaharakati wa ...
Agizo hilo linasema kuwa magenge "yamejihusisha katika kampeni za vurugu na ugaidi" duniani katika kuijaza Marekani na uhalifu, na kusababisha hatari ya usalama wa taifa kwa Marekani. Zaidi ya ...
baada ya sheria ya kuipiga marufuku kwa misingi ya usalama wa taifa kuanza kutumika. Ilirejea kwa watumiaji wake milioni 170 nchini Marekani baada ya Trump kusema atatoa agizo ili kuipa programu ...