WAZIRI wa Mawasiliano na Tekinolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema serikali imepanga kuimarisha Mawasiliano kwa kuunganishwa mtandao wa mkongo wa Taifa kutokea nchi jirani ya Kenya. Waziri Silaa ...
Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande, amezindua rasmi Bahati Nasibu ya Taifa Tanzania, hatua kubwa kwa sekta ya michezo ya kubahatisha nchini. Uzinduzi huo umefanyika katika hafla ya kihistoria ambapo ...