Taarifa ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP iliyotolewa leo Gaza Palestina imeonya kuwa mafanikio ya awali katika uhakika wa chakula Gaza yako hatarini baada ya kufungwa ...
Utafiti umebainisha kuwa asilimia 98.5 ya wapishi wanaofanya kazi katika hoteli za nyota nne au tano ni wanaume huku wanawake wakiwa asilimia 1.5 pekee.
Je ni sawa kwa afya yako? "Chakula cha jioni cha TV," unaweza kusema hivyo kwa maana ya kuhusisha kula wakati wa kutazama TV, kwa ujumla hiyo ni mbaya. Kula ukitazama TV lilianzia Marekani ...
Shirika la Viwango vya Chakula (FSA) linachunguza jinsi linavyoweza kuharakisha mchakato wa uidhinishwaji wa vyakula vilivyozalishwa maabara. Bidhaa hizo zinakuzwa kutoka kwa seli za mimea midogo ...
SHIRIKA la Agrithaman kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) linalojihusisha na maswala ya lishe wameandaa semina kuhusu salama wa chakula ili kujenga ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula WFP pamoja na Serikali ya Iceland, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu ya Msingi na Sekondari nchini Malawi, limepanua Mpango wa Chakula cha Shule ...
RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuweka jiwe la msingi la mradi ujenzi wa barabara ya Bagamoyo (Makurunge)-Mkange-Pangani-Tanga yenye urefu wa kilometa 256 ikijumuisha daraja la Pangani lenye ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果