资讯

Anasema mtu anayetumia uji wa kimea hupata virutubishi vingi kutokana na kuongezeka kwa virutubishi na uwezo wa mwili ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito uchunguzi huru ufanyike kufuatia madai ya mashambulizi ya Israel karibu na vituo vya usambazaji chakula huko Gaza. Guterres amesema ...
Mkasa mpya umetokea huko Gaza. Maelfu ya watu wenye njaa wamepora ghala la misaada ya kibinadamu la Shirika la Umoja la Mpango wa Chakula Duniani, WFP. Shirika hili la Umoja wa Mataifa limeripoti ...
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) linatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kusaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Nchi inakabiliwa na mzozo wa chakula ambao haujawahi kushuhudiwa ...
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa inaonyesha athari mbaya kwa sekta ya kilimo Gaza: zaidi ya asilimia 95 ya ardhi ya kilimo haiwezi kutumika, visima na nyumba za kilimo zimeharibiwa. Shirika la Afya ...
MANYARA: MRADI NOURISH unaosaidia wakulima wadogo kulima kwa tija ili kuwa na usalama wa chakula na kipata kipato umeleta mageuzi wilayani Babati kwa kusaidia kaya kujiunga kwenye vikundi vya kilimo ...
WATAALAMU takribani 200 wa afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula wamekutana leo jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kutumia Akili Mnemba(AI) katika matibabu ya magonjwa ya mfumo wa chakula ...
Hayo yameelezwa mwishoni mwa juma na Dk Muhidin Mahende katika Kongamano la kitaaluma kuhusu afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula lililofanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, likiratibiwa na ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limeonya leo Mei 23 kuwa wimbi kubwa la watu wanaokimbia makazi yao katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kutokana na mapigano ...
Wakimbizi nchini Kenya wako katika hatari kubwa ya kukumbwa na baa la njaa, baada ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP kutoa onyo leo kwamba linakabiliwa na uhaba mkubwa wa ...