资讯
Anasema mtu anayetumia uji wa kimea hupata virutubishi vingi kutokana na kuongezeka kwa virutubishi na uwezo wa mwili ...
Matatizo ya mmeng'enyo wa chakula, kama vile gesi, kuvimbiwa na kuhara, huathiri mamilioni ya watu kote duniani. Ili kukabiliana na tatizo hili ulimwengu hauna budi kuzingatia afya ya mmeng'enyo ...
Kampuni ya huduma za mtandaoni za kutafuta na kuwasilisha chakula nchini India -Zomato imesifiwa kwenye mitandao ya kijamii kwa jibu ililotoa kwa mteja wake wa dini ya Hindu ambae alikataa kupokea ...
WATAALAMU takribani 200 wa afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula wamekutana leo jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kutumia Akili Mnemba(AI) katika matibabu ya magonjwa ya mfumo wa chakula ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limeonya leo Mei 23 kuwa wimbi kubwa la watu wanaokimbia makazi yao katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kutokana na mapigano ...
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa inaonyesha athari mbaya kwa sekta ya kilimo Gaza: zaidi ya asilimia 95 ya ardhi ya kilimo haiwezi kutumika, visima na nyumba za kilimo zimeharibiwa. Shirika la Afya ...
TANZANIA imetajwa ni miongoni mwa nchi 20 ulimwenguni ambazo watoto wake wanakabiliwa na umasikini wa chakula, hivyo kuwa hatarini kupata utapiamlo. Hayo yamebainishwa katika Ripoti ya Lishe ya Watoto ...
Wakimbizi nchini Kenya wako katika hatari kubwa ya kukumbwa na baa la njaa, baada ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP kutoa onyo leo kwamba linakabiliwa na uhaba mkubwa wa ...
WANATAALUMA wa sayansi na teknolojia ya chakula nchini wamesema kuna haja nchi kuwa na sera moja ya usalama wa chakula itakayowaongoza kila mtu kupata chakula salama. Mwenyekiti wa Chama cha Wataalamu ...
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) linatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kusaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Nchi inakabiliwa na mzozo wa chakula ambao haujawahi kushuhudiwa ...
Mkasa mpya umetokea huko Gaza. Maelfu ya watu wenye njaa wamepora ghala la misaada ya kibinadamu la Shirika la Umoja la Mpango wa Chakula Duniani, WFP. Shirika hili la Umoja wa Mataifa limeripoti ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果