Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeahidi kutoa Dola za Marekani 2.5 bilioni sawa na Sh6.4 trilioni, kwa ajili ya ...
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limeongeza safari za treni la daladala maarufu ‘Mwakyembe’, kutokana na mahitaji ya usafiri ...
Tanzania ilikiwa kitovu cha mapambano ya ukombozi wa Afrika Kusini wakati wa utawala wa kibaguzi, ambapo baadhi ya wananchi wa nchi hiyo walipewa hifadhi nchini, kabla ya nhi hiyo kuoata ...
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Wilaya ya Temeke, Hashim Mziray amemtangaza Mohamed Saleh Mohamed kuwa ndiye Mwenyekiti wa chama cha soka wilayani humo (TEFA) baada ya kushinda ...
KUSHINDA mechi ya ufunguzi wa michuano ya ICC League B dhidi ya Italy na tatu nyingine zinazofuata, ndio azma kuu ya timu ya Tanzania katika ligi hii kimataifa inayoanza kuchezwa rasmi ijumaa ...
Jumuiya ya Shia Imami Ismaili nchini Tanzania imezindua Fanoos katika Jamatkhana ya kihistoria ya Upanga, hafla iliyokuwa ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Wizara ya ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ugonjwa wa Marburg umewaua watu wanane katika mkoa wa Kagera Kaskazini magharibi mwa Tanzania. Taarifa ya shirika hilo ...
Fungua habari zote, podcasts na video kutoka maktaba za Jumuiya Ya Afrika Mashariki ya RFI tangu mwaka 2011 ...
Makala ya Changu Chako ,chako Changu hii leo yanaangazia historia na tamaduni za kabila la Wakalenjin kutokea Kenya.Kisha kwenye kipengele cha Leorparle Francophone tutangaazia maonyesho ...