资讯

HITAJI la uwepo wa katiba mpya ni moja ya hoja ambazo zinajadiliwa mara kwa mara na wadau mbalimbali wakiwamo wa siasa ambao matamanio yao ni kuona mchakato wa kuipata unaharakishwa. Mjadala huo ni ...
Serikali ya Japani inapanga kuchunguza kwa makini sera ya kigeni ya Rais mpya wa Korea Kusini Lee Jae-myung ambaye alichukua msimamo mkali dhidi ya Japani hapo nyuma. Mgombea huyo wa chama kikuu ...
(Picha: Showmetech) Yue Pan, Meneja Mauzo katika Bambu Lab, alitoa maoni kuhusu jukumu la kampuni katika soko la Brazili wakati wa tukio la kutangaza laini mpya ya vichapishaji ... kufikiwa zaidi za ...
Hivi ndivyo Switch 2 mpya inavyoonekana (Image: Nintendo) Wakati nilipochukua kifaa, nilihisi sawa. Huu sio ugunduzi wa kimsingi wa kile Swichi inaweza kufanya. Ni mageuzi ya busara. Imesafishwa ...
Bila shaka ni mojawapo ya vituo vikubwa zaidi vya makombora vya chini ya ardhi vilivyofichuliwa na Iran katika miaka ya hivi karibuni. Picha zinazorushwa na televisheni ya taifa zinaonyesha ...
Albamu mpya ya Diamond inatarajiwa kutoka baada ya miaka saba, ndiyo sababu tunasema amechelewa ukilinganisha na wale ambao mashabiki wake wamekuwa wakiwaona kama washindani wake kwa hapa Afrika.
zaidi ya mara bilioni 1 YouTube baada ya Diamond Platnumz na Harmonize. Albamu hii mpya ya Rayvanny imeshirikisha wasanii wengi wakali wa Bongofleva, yupo Alikiba, Diamond, Harmonize, Marioo, Jay ...
Mnamo Novemba 27 huko Strasbourg, serikali mpya ya Umoja wa Ulaya imepata kura 370 dhidi ya 282 ambazo zilipinga na 36 hawakupiga kura). Muhula wa pili wa Ursula von der Leyen utaweza kuanza ...
Sheria mpya ya usalama wa kitaifa ya Hong Kong imeanza kutumika kuanzia leo, na kuweka adhabu kali ikiwemo kifungo cha maisha gerezani kwa makosa ya uhalifu. Sheria hiyo - inayojulikana kama ...
KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda, amezindua Ofisi Mpya ya CCM Kata ya Ibadakuli, ambayo imejengwa na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi ...