资讯
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusu mradi wa hoteli ya nyota tano inayojengwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuendelea kutekelezwa ...
Siku ya Jumanne mashabiki wa mojawapo wa timu kongwe Tanzania watakusanyika katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam kusherehekea "Simba Day". Ni katika kuidhinisha wiki ya Simba au kwa ...
JNIM inadai kwamba zaidi ya wanajeshi 100 wa Mali waliuawa katika shambulio hilo na 22 walikamatwa na kushikiliwa mateka. RFI iliweza kuhakiki takwimu hizi na vyanzo vya ndani, ikiwa ni pamoja na ...
Serikali ya Japani inapanga kuchunguza kwa makini sera ya kigeni ya Rais mpya wa Korea Kusini Lee Jae-myung ambaye alichukua msimamo mkali dhidi ya Japani hapo nyuma. Mgombea huyo wa chama kikuu ...
Waziri Mkuu wa Uholanzi Dick Schoof amesema taifa hilo litafanya uchaguzi mpya baada ya serikali ya muungano kusambaratika. Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha PVV kimejitoa kwenye ...
Licha ya tangazo hilo, haikuwekwa wazi ni lini Serikali mpya itatangazwa, ikiwa ni ya kwanza tangu mapigano kati ya jeshi na wapiganaji wa RSF kuzuka. Idris aliteuliwa na Mkuu wa serikali ya ...
Naibu Makamu Mkuu wa AKU, Profesa Eunice Pallangyo pamoja na Naibu Mkurugenzi wa Elimu ya Juu Tanzania, Dk Kenneth Hosea wakikata keki kuashiria uzinduzi wa Mpango wa Uuguzi wa Vitendo vya Juu (APN) ...
MSISITIZO wa Yanga wa kutocheza Dabi ya Kariakoo bado upo palepale. Inaelezwa kuwa Yanga, haitacheza Dabi ya Kariakoo Juni 15 mwaka huu dhidi ya Simba hadi haki yao ipatikane baada ya mechi hiyo ...
Mahakama ya Biashara ya Marekani imebatilisha hatua ya Rais Donald Trump ya kutoza ushuru mpya kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje, ikisema alienda kinyume cha mamlaka yake ya kisheria. Mahakama ya ...
Utafiti mpya unaonyesha kuwa jinsi bili za huduma za AI kwa tokeni huficha gharama halisi kutoka kwa watumiaji. Watoa huduma wanaweza kuongeza gharama kwa utulivu kwa kubana hesabu za tokeni au ...
Dar es Salaam. Msanii wa muziki wa hiphop nchini, Rapcha ambaye kwa sasa anatamba na Mixtape yake mpya ya ‘Usichukue Sifa za Mungu’ iliyotoka Aprili 25,2025, ameelezea namna ambavyo kazi hiyo inagusa ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果