资讯
Ndipo akageukia miondoko ya Amapiano na Afro Pop, huku akutana na S2kizzy, Mtayarishaji Muziki na Mkurugenzi wa studio za Pluto Republic, pamoja na Diamond ambaye ni Mkurugenzi wa WCB Wasafi, lebo ...
Waziri Mkuu wa Uholanzi Dick Schoof amesema taifa hilo litafanya uchaguzi mpya baada ya serikali ya muungano kusambaratika. Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha PVV kimejitoa kwenye ...
Serikali ya Japani inapanga kuchunguza kwa makini sera ya kigeni ya Rais mpya wa Korea Kusini Lee Jae-myung ambaye alichukua msimamo mkali dhidi ya Japani hapo nyuma. Mgombea huyo wa chama kikuu ...
Mahakama ya Biashara ya Marekani imebatilisha hatua ya Rais Donald Trump ya kutoza ushuru mpya kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje, ikisema alienda kinyume cha mamlaka yake ya kisheria. Mahakama ya ...
Siku ya Jumanne mashabiki wa mojawapo wa timu kongwe Tanzania watakusanyika katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam kusherehekea "Simba Day". Ni katika kuidhinisha wiki ya Simba au kwa ...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusu mradi wa hoteli ya nyota tano inayojengwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuendelea kutekelezwa ...
Dalili za uhasama mpya kati ya mataifa mawili yenye ushawishi katika eneo hilo, Türkiye na Israel, zinajitokeza. Mataifa hayo mawili bado hayajajihusisha na makabiliano ya moja kwa moja katika ...
Licha ya tangazo hilo, haikuwekwa wazi ni lini Serikali mpya itatangazwa, ikiwa ni ya kwanza tangu mapigano kati ya jeshi na wapiganaji wa RSF kuzuka. Idris aliteuliwa na Mkuu wa serikali ya ...
Katika hatua inayolenga kubadili taswira ya utalii wa Tanzania, Kampuni ya Maendeleo Hospitality Ventures (MHV), inayoongozwa na wawekezaji wa Kimarekani, imetangaza mpango wa kujenga hoteli ya ...
Naibu Makamu Mkuu wa AKU, Profesa Eunice Pallangyo pamoja na Naibu Mkurugenzi wa Elimu ya Juu Tanzania, Dk Kenneth Hosea wakikata keki kuashiria uzinduzi wa Mpango wa Uuguzi wa Vitendo vya Juu (APN) ...
BARCELONA, HISPANIA: Barcelona inaripotiwa kufanya uamuzi wa kumpa Lamine Yamal jezi ya kihistoria namba 10 kuanzia msimu ujao kutoka 19 ya sasa, sambamba na mkataba mpya wa muda mrefu. Jezi hiyo ina ...
MSISITIZO wa Yanga wa kutocheza Dabi ya Kariakoo bado upo palepale. Inaelezwa kuwa Yanga, haitacheza Dabi ya Kariakoo Juni 15 mwaka huu dhidi ya Simba hadi haki yao ipatikane baada ya mechi hiyo ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果