资讯

WABUNGE wameipogeza serikali kwa kufanikisha ujenzi na ukarabati wa Soko la Kariakoo, ambalo limeboreshwa na kuwa na viwango vya kimataifa. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya ...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuwa kuanzia kesho, Jumamosi Aprili 5, 2025, baadhi ya noti za zamani hazitatambulika tena kama fedha halali. Zoezi la kuziondoa noti hizo lilianza Januari 6, ...
Kulingana na chanzo hiki, mamia ya makazi ya muda na soko kuu la kambi hiyo pia viliharibiwa, wakati kambi ya Zamzam tayari imetangazwa kuwa eneo lenye njaa kutokana na kizuizi kilichowekwa na FSR ...
Shirika hilo limesema soko kuu la Zamzam pamoja na mamia ya nyumba za muda katika kambi hiyo ziliharibiwa. Kulingana na Uratibu Mkuu wa Watu Waliohamishwa Makazi na Wakimbizi, shirika la ndani ...
ZIMEBAKI hatua chache kumfahamu bingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu sambamba na zile timu zitakazoshuka daraja. Wakati hayo yakisubiriwa kwa hamu hivi sasa ligi hiyo imegawanyika vipande vitatu.
Baadhi ya wafanyabiashara wa soko Kuu la Kariakoo wakiwa nje ya geti wakisubiria kuingia kwa ajili ya kuonyeshwa maeneo watakayofanyia biashara zao baada ya soko kukamilika. Picha na Sunday George Dar ...
Simba SC ya Tanzania itavaana na timu pendwa ya Kombe la Shirikisho la CAF, Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, baada ya timu zote ...
Dar es Salaam. Wafanyabiashara 142 wa soko Kuu la Kariakoo waliokatwa mara ya pili katika orodha ya wanaotakiwa kurudi sokoni hapo, wameelezwa kuwa hawana vigezo, hivyo kutakiwa kuomba upya.
KUFIKISHA pointi 44 kwenye Ligi Kuu Bara, imekuwa changamoto kubwa sana kwa Dodoma Jiji ambayo huu ni msimu wake wa tano inashiriki ligi hiyo. Timu hiyo iliyopanda Ligi Kuu msimu wa 2020-2021 baada ya ...