资讯

URUSI: WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametilia shaka nia ya Marekani siku moja kabla ya duru ya pili ya mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Tehran unaotarajiwa kufanyika mjini Rome ...
Mwanahabari mashuhuri wa Uganda, Shaka Ssali, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 71, wiki mbili kabla ya kutimiza miaka 72. Taarifa zinaeleza kuwa Ssali alifariki dunia Alhamisi, Machi 27, 2025, huko ...
Mwandishi wa Habari wa VOA, Harun Maruf kwenye ukurasa wa akaunti yake ya X (zamani Twitter) inasomeka: “Tunasikitika sana kutangaza kifo cha Shaka Ssali, mtangazaji wa muda mrefu wa Straight Talk ...
Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wa Tanzania, Charles Kichere ameyataja mashirika manne ya umma yaliyopata hati zenye shaka na hati mbaya katika ripoti yake ya mwaka ...