Makala ya Changu Chako ,chako Changu hii leo yanaangazia historia na tamaduni za kabila la Wakalenjin kutokea Kenya.Kisha kwenye kipengele cha Leorparle Francophone tutangaazia maonyesho ...
Januari hii tumetimiza miaka 46 toka alipofariki Mbaraka Mwinshehe, mtunzi, mpiga gitaa la solo na muimbaji mashuhuri, lakini bado jina lake linakumbukwa katika anga za muziki Afrika ya Mashariki ...