Man United imeongeza kasi ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Mali El Bilal Toure, 23, ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo Stuttgart kutoka Atalanta. (TeamTalks), Tottenham Hotspur wanaonekana kuwa ...
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC, ili ...