ABC haitanii na imetoa fursa kwa vijana kujiunga na timu hiyo ikiwamo kupata nafasi ya kwenda mafunzo ya jeshi.
VIJANA wakubwa barani Ulaya walirejea katika michuano ya bara wiki iliyopita huku mechi zote nane za hatua ya 16-bora ya Ligi ...
Msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa, Rayvanny, maarufu kama Chui, ameizindua rasmi promosheni mpya ...
ABDUL Kessy Kasongo maarufu zaidi kwa jina la Abdul Zugo ni mtoto wa Dar es Salaam lakini heshima yake katika mchezo wa ngumi ...
Mabao mawili aliyoyafunga kiungo nyota mshambuliaji wa Simba, Jean Charles Ahoua, juzi katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Dodoma ...
Ugonjwa wa saratani ni miongoni mwa magonjwa yanayoleta madhara makubwa kiafya na hata kusababisha vifo kwa mamilioni ya watu ulimwenguni. Kwa wengi, kugundulika na saratani ni kama hukumu ya kifo ...
Takriban mtu mmoja ameuawa na watatu kujeruhiwa katika shambulio "kubwa" la ndege isiyo na rubani iliyofanyika usiku kucha ...
Rais wa Argentina Javier Milei ametangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa baada ya mafuriko kuua takriban watu 16 nchini ...
Ripoti mpya ya Chuo cha Monash imeonesha matukio ya unyanyasaji dhidi yawa Islamu wa Australia, yali ongezeka zaidi ya mara ...