资讯

NMB Foundation kwa kushirikiana na kampuni ya Mwani Zanzibar (ZASCO) wamezindua mafunzo endelevu kwa Wakulimwa wa Mwani Unguja na Pemba, ambapo Serikali ya Mapunduzi ya Zanzibar (SMZ) imeipongeza na ...
Mohamed Shaib Saleh, mkazi wa Pemba, ameokolewa salama baada ya kujirusha baharini kutoka kwenye boti ya Zanzibar 3 iliyokuwa ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi, amemteua Shariff Ali Shariff kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji, na ataapishwa kesho Februari 22 ...
Alisema pia serikali kupitia Kampuni ya Mwani Zanzibar imekamilisha ujenzi wa kiwanda cha kusarifu mwani katika eneo ... ujenzi wa jiko na Soko la Samaki Malindi la Dola za Marekani milioni 14 huku ...
Dodoma. Serikali imesema imeanza kujenga ukuta katika eneo la Nungwi Zanzibar kwa ajili ya kusaidia kuzuia maji ya bahari kuingia kwenye makazi kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Naibu ...
ZANZIBAR: WIZARA ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi inaendelea kuwezesha wajasiriamali na wananchi kwa kuwapatia elimu, uelewa na ufahamu katika ajenda ya uchumi wa buluu. Uwezeshaji huo ni sehemu ya ...
Serikali ya Zanzibar imetoa vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319 ambao wameishi nchini kwa zaidi ya miaka 50 wakiwa na asili ya mataifa jirani ya Comoro, Msumbiji ...
Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar ameteuwa tume mpya ya uchaguzi ambayo baada ya kipindi kirefu imechukuwa wajumbe wawili kutoka chama kikuu cha upinzani, ACT Wazalendo, ambacho pia ni mshirika ...
Mkutano wa 67 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake duniani, CSW67 ukikaribia kufunga pazia kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani, viongozi waandamizi wa Wizara ya Maendeleo ya ...
Hali hii ya kuogopesha ilipelekea watu wengi kukimbia maeneo yaliyoathirika kote Zanzibar. “Wale walioshindwa kukimbia walipigwa,” alisema mkazi mmoja mwenye umri wa miaka 59, eneo la Nungwi ...
Juma hili mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya mapinduzi ya Zanzibar, kabla ya kukuletea Historia ya Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar, sikiliza na makinikia zaidi. usiikosi ...
Sheria ya Watoto ya Zanzibar ya mwaka 2011 imeshinda tuzo ya sera za mustakabali yaani Future Policy Award. Tuzo hiyo imetolewa mjini Geneva, Uswisi na Shirika la World future Council pamoja na Umoja ...