Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko akizungumza bungeni jijini Dodoma. Dodoma. Mitambo minane kati ya tisa inayojengwa katika Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere, imekamilika ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amesema mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Julius Nyerere utakamilika rasmi mwishoni mwa Februari, mwaka huu, baada ya kukabidhiwa mtambo ...
"Nilikuwa niña hofu kubwa kwamba akili mnemba itaniondoa kwenye ajira yangu kwani zana hii inaweza kuandika insha kwa ubora zaidi kuliko hata mimi." Ni kauli ya Laura Friday, Mwalimu wa lugha ya ...
Somo la mazingira halitakamilika kama maadili si sehemu yake. Ukifundisha historia utakutana na watu waadilifu waliogusa jamii zao kama kina Mwalimu Nyerere, Nelson Mandela na wengineo. Huwezi ...
MWENYEKITI wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, leo Januari 30, 2025 amefanya kikao na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima, baada ya ...
KAZI ya ‘kimbelembele’ ngumu jamani. Hayo ni maneno ya msanii wa Bongo Movie na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele ‘Steve Nyerere’, kutokana kuwepo kwake kwenye mambo mengi ...