Aliyekuwa rais wa Kenya Mwai Kibaki atazikwa kijijini kwake Othaya, Nyeri Jumamosi ya tarehe 30, Aprili. Mwili wake utakuwa bungeni kati ya Jumatatu tarehe 25 Aprili na Jumatano, Aprili 27.
Aliyekuwa rais wa Kenya Mwai Kibaki amefariki akiwa na umri wa miaka 90. Rais Uhuru Kenyata ametangaza kupitia runinga mbalimbali nchini Kenya. Kibaki alikuwa rais wa tatu wa Jamhuri ya Kenya ...