资讯

Mgodi wa Dhahabu wa North Mara kwa kushirikiana na baadhi ya wakandarasi wanaofanya nao kazi, umetoa msaada fedha taslimu na bidhaa mbalimbali kwa ajili ya wananchi walioathiriwa na maafa ya mvua ...
Musoma. Tanzania imeingia kwenye orodha ya nchi 10 Afrika zenye akiba nyingi ya dhahabu zinazohifadhiwa katika benki kuu za nchi hizo baada ya kufanikiwa kununua na kuhifadhi tani 3.7 za dhahabu.
FEDHA za Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara, ambazo ni Sh.milioni 75.7 zimetumika kununua vifaa vya ujenzi wa shule mbalimbali jimboni humo ikiwa ni sehemu ya kuboresha elimu. Hayo ...
Mwanafunzi wa kidato cha tatu ambaye bado hajafahamika amemtelekeza mtoto wake mwenye umri wa wiki moja na siku nne katika ...
DODOMA — Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, George Mcheche Masaju, kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya ...
Marekani inataka Tanzania na nchi nyingine 35 kurekebisha masuala kadhaa hasa ya uhamiaji vinginevyo raia wake watapigwa marufuku kuingia Marekani. BBC News, Swahili. Ruka hadi maelezo.
Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wameitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kusitisha mara moja vitendo vya kutoweka kwa wapinzani wa kisiasa, watetezi wa haki za ...
CHAMA Cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA), kimepongeza muitikio wananchi hususani wanachama na watumishi wake kushiriki sensa kuanzia juzi. ... Butiama, Musoma wapongeza ushirikiano wa wananchi.
Kiongozi wa upinani nchini Tanzania Tundu Lissu anatarajiwa kusikilizwa leo Jumatatu katika kesi ya uhaini inayomkabili katika mahakam a ya Hakimu Mkaze Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mjadala mzito Bungeni Tanzania kufuatia kauli ya Gwajima. Askofu Josephat Gwajima Askofu na mbunge wa jimbo la Kawe, Dar es SalaamPicha: DW/S. Khamis.