VINARA na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga, wanatarajiwa kuzindua Uwanja wao mpya wa Singida Black Stars uliopo Mtipa ...
Benki ya NMB kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – Tamisemi, imezindua mfumo wa kidijitali wenye lengo la kupunguza mianya ya ...
Mark Carney ameapishwa kuwa waziri mkuu mpya wa kwanza wa Canada tangu mwaka 2015. Amelenga kuzungumza na Rais wa Marekani ...
BOSI mpya atakayesimamia usajili Arsenal, Andrea Berta yupo tayari kumvuta kikosini Bruno Guimaraes ikiwa ni sehemu ya kuunda ...
Nchini Mali, ushuru mpya wa huduma za simu ulianza kutumika mnamo Machi 5. Serikali sasa inakata 10% ya gharama ya kila ...
Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), chombo cha juu cha mahakama cha Umoja wa Mataifa, siku ya Jumatatu imemteua Mjapani Yuji ...
Ni sura mpya katika nafasi za ukurugenzi ndani ya Chadema, ndivyo unavyoweza kusema baada ya Kamati Kuu ya chama hicho iliyojifungia kwa siku mbili jijini Dar es Salaam kufanya uteuzi.
Bahari mpya inaibuka barani Afrika, kulingana na utafiti mpya, ni mchakato ambao ulidhaniwa ungechukua kati ya miaka milioni 5 na 10, lakini utafiti mpya wa kisayansi unaonesha kuibuka huko ...
Waziri Mkuu wa Japani Ishiba Shigeru ameahidi kupata fedha za kutosha kwa ajili ya mipango ya kuwezesha wakazi kurejea katika ...
DODOMA: WAKUU wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Mikoa na Vikosi kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wametakiwa kutumia mbinu ...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, amezindua namba mpya ya bure ya huduma kwa wateja ya Shirika la Umeme Tanzania ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results