Serikali ya Japani inasema watu takribani 300,000 wanaweza wakauawa ikiwa tetemeko kubwa la ardhi linalotazamiwa litatokea ...
Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali, kutoa taarifa mapema, ili nafasi zao ziweze ...
ILI kutinga nusu fainali Simba inahitaji ushindi wa tofauti ya mabao matatu Kwa Mkapa Jumatano ijayo baada ya kufungwa 2-0 ...
Meli ya utafiti wa bahari na samaki, Dk Fridtjof Nansen kutoka Norway, inatarajiwa kuanza utafiti wake nchini.
BAADA ya awali kuelezwa huenda kiungo wa Azam FC, Adolf Mtasingwa atakosa mechi zote za Ligi Kuu Bara zilizobaki, taarifa ...
Madrid kumuuza Vinicius Junior kwa €300mil, Chelsea yapata mbadala wa Jackson na Mipango ya Usajili Arsenal yawekwa wazi ...
Trump anasema – kwa hatua hizi ambazo zinazifanya bidhaa za kigeni kuwa ghali zaidi - zitasaidia wazalishaji wa Marekani na ...
KUSUKA nywele kwa mitindo tofauti kwa watu wenye asili ya kiafrika, ni utamaduni uliodumu kwa karne. Muundo wa asili wa ...
Israel imependekeza mpango wa makubaliano utakaowezesha kuachiwa mateka huku ikiendelea na vita vyake Gaza. Na Hamas yatoa ...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amemchagua aliyekuwa Kamanda wa Jeshi la Wanamaji Eli Sharvit kuwa mkuu mpya wa ...
Mataifa jirani ya Afrika Magharibi, ambayo yamejiondowa kwenye Jumuiya ya Kiuchumi ya Ukanda huo (ECOWAS) yametangaza ushuru ...
Watu wa kisiwa cha Indonesia cha Bali walisherehekea Mwaka Mpya katika kalenda ya Hindu kwa gwaride la sanamu kubwa za ...