Hali ya kupoteza kwa kiasi kikubwa uwezo wa jicho wa kuona, unatokana na vichafuzi vya hewa kama vile chembe chembe na gesi ya ‘naitrojen dayoksaidi’ inayopatikana katika moshi huo wa injini. Kwa hiyo ...
Video zake za kwanza zinaonyesha wingu dogo la moshi ukifuka kutoka kwenye kilima. Wanasema walinusa harufu ya moto kabla ya kuona moshi huo. Katika video nyingine, wingu hilo dogo linazidi kuwa ...