JESHI la Zimamoto na Uokoaji limefanikiwa kuuzima moto uliokuwa ukiteketeza jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Akizungumzia tukio hilo jana, Mkurugenzi wa Idara ...