资讯

Hatua ya Shirikisho la Soka duniani(FIFA) kuongeza idadi ya timu zitakazoshiriki katika michuano ya Kombe la dunia la vilabu inatoa fursa kwa vilabu vinne vya Afrika ...
Tayari kitengo tofauti cha Afrika katika Baraza la Usalama la Kitaifa lililopungua sana katika Ikulu ya White House kinaripotiwa kuunganishwa sehemu ya Mashariki ya Kati-Kaskazini mwa Afrika.
Cape Town. Wataalamu wa nishati wamesisitiza umuhimu wa nchi za Afrika kuunganisha nguvu kama mkakati muhimu wa kukabiliana na changamoto sugu za nishati na kufungua fursa zilizopo katika sekta hiyo.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimemtunuku Shahada ya heshima Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dk. Akinwumi Adesina. Dk. Adesina ametunukiwa Shahada ya Falsafa ya ...
Hili ni tangazo la kijasiri kutoka Beijing: China itaondoa ushuru wote wa bidhaa zinazouzwa nje kutoka nchi 53 za Afrika ambazo inadumisha uhusiano wa kidiplomasia nazo. Hadi sasa, ni nchi 33 peke ...
MIAKA 32 iliyopita, Simba SC walifika fainali ya michuano ya Afrika (CAF Cup Winners' Cup) mwaka 1993, wakapambana vikali dhidi ya Stella Abidjan ya Ivory Coast lakini wakateleza. Kilio hicho ...
Seynabou Diakhate, ambaye ni mwenyekiti anayemaliza muda wake katika Bodi ya Ushauri ya Umoja wa Afrika ya Kupinga Rushwa ( AUABC), akizungumza leo katika makao makuu ya bodi hiyo jijini Arusha wakati ...
Italia inalenga kupunguza uhamiaji haramu kutoka Afrika katika Umoja wa Ulaya kwa kusaidia uchumi wa nchi kadhaa za bara hilo. Mkutano huo ambao utafanyika leo Ijumaa hii, Juni 20, umepangwa ...