资讯
Cape Town. Wataalamu wa nishati wamesisitiza umuhimu wa nchi za Afrika kuunganisha nguvu kama mkakati muhimu wa kukabiliana na changamoto sugu za nishati na kufungua fursa zilizopo katika sekta hiyo.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimemtunuku Shahada ya heshima Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dk. Akinwumi Adesina. Dk. Adesina ametunukiwa Shahada ya Falsafa ya ...
Seynabou Diakhate, ambaye ni mwenyekiti anayemaliza muda wake katika Bodi ya Ushauri ya Umoja wa Afrika ya Kupinga Rushwa ( AUABC), akizungumza leo katika makao makuu ya bodi hiyo jijini Arusha wakati ...
Italia inalenga kupunguza uhamiaji haramu kutoka Afrika katika Umoja wa Ulaya kwa kusaidia uchumi wa nchi kadhaa za bara hilo. Mkutano huo ambao utafanyika leo Ijumaa hii, Juni 20, umepangwa ...
Ili kusafirisha kwa mafanikio zana za kijeshi kwa kikosi chake barani Afrika "Africa Corps," Kremlin inatumia bandari ya Conakry, katika nchi jirani ya Guinea. Uchunguzi umefanywa kwa sehemu mbili.
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果