资讯

Kwa kawaida mahari huwa ni kama mkataba wa makubaliano kabla ya ndoa ambapo mali kama ng'ombe, ngamia, mbuzi au hata pesa taslimu hulipwa na bwana harusi kwa familia ya bibi harusi ili apewe mke.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, Amos Makalla, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, ameifungua milango ya fursa za kiuchumi jijini Dodoma kwa kuhakikisha uwanja wa ndege Msalato ...
"Nitatoa majibu mzuri zaidi kwanini nimechagua Temeke muda wa kampeni ukianza, itoshe kusema Temeke imeathirika zaidi nataka nikawawakilishe bungeni," amesema. "Nashukuru kwa kujitokeza kwa wingi ...
BAADHI ya washambuliaji wa Ligi Kuu Bara, Adam Adam wa Tanzania Prisons, Matteo Antony wa JKT Tanzania na Tariq Seif wa Kagera Sugar, wamekiri msimu huu haukuwa mzuri kwa upande wao. Adam ambaye msimu ...
“Lakini hilo pekee halitoshi bado tunahitaji mfumo mzuri wa mawasiliano na wenyeviti wa Serikali za mitaa ndio maana tunataka tujue wananchi wanasemaje kupitia ninyi,” amesema. Amesema lengo la ...
MSHAMBULIAJI wa KMC, Daruweshi Saliboko amesema japo hakuwa na msimu mzuri kiushindani haujapita kapa badala yake amepata mafunzo yatakayomsaidia ujao kufanya vizuri katika kuweka rekodi za heshima.
Matinyi amemwelezea Mfalme huyo dhamira ya Tanzania ya kuendeleza na kuimarisha uhusiano mzuri wa kidiplomasia uliopo baina ya nchi hizo na nia ya kukuza ushirikiano katika utekelezaji wa diplomasia ...
Katika mashindano yaliyoainishwa na vigogo wa kimataifa na vikosi vyenye dhamani ya mabilioni ya dola, vilabu vya Kiafrika vimeingia kwenye jukwaa kuu la Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025 kwa ...