资讯

"Kumekuwa na mapigano na jamii ya Borana hapo kabla, lakini hiki ni kitu tafauti, anasema Hassan, mtu mzima wa kabila la Garba. Kwa upande mwengine, jamii ya Borana wana mtazamo huo huo.