资讯
Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Shariah ya Benki ya CRDB, Abdul Van Mohammed (katikati) akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Al Barakah, Rashid Rashid (kushoto) pamoja na Meneja wa Kanda ya Pwani wa CRDB, ...
WASHINDI wa Benki ya CRDB kupitia kampeni ya “Tembo Card ni Shwaa ” wanakwenda Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kuona wanyama mbalimbali akiwemo Simba kwa muda wa siku tatu.. Hayo yalisemwa jana jijini ...
Mfuko wa CRDB Tanzania wawezesha wanawake kupata mikopo nafuu Wanawake wamejikomboa kiuchumi na sasa wanakomboa vijana Mfuko unawaunganisha wanavikundi na masoko ya bidhaa zao Mfano wangu ni Jackline ...
Benki ya CRDB imekuwa ikitekeleza miradi kadhaa inayoibuliwa na wananchi katika kuimarisha elimu na mazingira ya kujifunzia nchini. Mchango wa Benki ya CRDB katika elimu umekuwa ukijielekeza katika ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi amepongeza Benki ya CRDB kwa mchango wake mkubwa katika utoaji mikopo ya nyumba, akitoa wito kuongezwa juhudi zaidi ili ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko, amepongeza Taasisi ya CRDB Bank Foundation kwa kuendelea kuandaa mbio za marathon ambazo mapatio yake yameelekezwa kusaidia jitihada za ...
Udhamini wa benki ya CRDB unakwenda kuongeza thamani ya Kombe la Shirikisho hivyo naamini klabu zitayapa uzito kwa vile bingwa wake anakwenda kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika." Mkurugenzi mtendaji ...
Hayo yalisemwa na Mkuu wa kitengo cha wateja na Biashara CRDB,Steven Adill wakati wa hafla ya kukabidhi gari iliyofanyika katika benki ya CRDB tawi la Usa River jijini Arusha. Adill alisema kuwa benki ...
WANAWAKE mkoani Mara wamesema utunzaji wa akiba kupitia akaunti ya malkia ya benki ya CRDB imewawezesha kumiliki viwanja. Wakizungumza na Waandishi wa Habari katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake ...
Benki ya CRDB imezindua huduma ya SimBanking iliyoboreshwa kuwawezesha wateja kupata huduma za kisasa na kufikia malengo yao ya kifedha. Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果