资讯

Dar es Salaam. Katika kusherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika inayoadhimishwa Juni ya kila mwaka,Benki ya CRDB imetembelea wodi ya watoto katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kutoa misaada mbalimbali ...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dk. Laay (katikati) akizungumza na wanahisa jijini Arusha jana. WANAHISA wa Benki ya CRDB wanatarajiwa kupata gawio la Sh. 50 kwa kila hisa kwa mwaka ...
Akizungumza leo Juni 20, 2025 katika mafunzo ya vikundi 12 vilivyokidhi vigezo vya kupata mikopo hiyo itakayotolewa na Jiji la Dodoma kupitia Benki ya CRDB, Kaimu Mkurugenzi wa Jiji hilo, Joseph Fungo ...
Kulingana na wabunge wa eneo hilo na mashahidi kadhaa, viongozi wa eneo hilo hapo awali walijaribu kusuluhisha suala hilo kwa kulipa diya, fidia ya jadi ya kifedha kwa uhalifu wa vurugu.