Shirika la ndege la Ubelgiji limetangaza kusitisha safari zake za leo Jumatano kwenda na kutoka jijini Kinshasa kutokana na machafuko yalioshuhudiwa kwenye eneo hilo. Uharibifu wa mali uliripotiwa ...
Alikuwa amefukuzwa kutoka Jamhuri ya Dominika, nchi aliyoiita nyumbani tangu alipokuwa na umri wa miaka minane. Kwa miaka mingi, ameshuhudia jinsi Haiti, nchi alikozaliwa, ilivyozidi kughubikwa na ...
2025 BBC. BBC haihusiki na taarifa za kutoka mitandao ya nje. Soma kuhusu mtazamo wetu wa viambatanishi vya nje. Autoplay Play next item automatically Makumi ya madereva wa Lori wamekwama nchini ...
HALMASHAURI ya Wilaya ya Shinyanga imeshauriwa katika Mpango wa Rasimu ya Makadirio ya Bajeti ya mwaka 2025/2026 waweke posho za wenyeviti wa vijiji 126 ambao wamekuwa mstari wa mbele katika kusimamia ...
Umoja wa Mataifa unahamisha kwa muda wafanyakazi wasio wa dharura kutoka Goma, nchini DR Congo kama vile wafanyakazi wa utawala na wengine wanaoweza kuendelea na majukumu yao kutoka maeneo mengine, ...
Kwa mujibu wa nchi zinazojiondoa, sasa zitapata uhuru mkubwa zaidi na pia uhuru kutoka kwa jeshi ambalo lina ajenda ya kigeni. Lakini wachambuzi wanasema Niger, Mali na Burkina Faso huenda ...
Vituo vya utalii jirani na Mlima Fuji vimesheheni watalii kutoka China na kwingineko kabla ya kuanza sikukuu za Mwaka Mpya za Mwaka wa Kichina. Vituo hivyo katika upande wa Mkoa wa Yamanashi wa ...
Shinyanga yapanda miti 500 Amewaonya wananchi katika vitendo vya kukata miti hovyo bila ya kupata kibali kutoka kwa mamlaka husika na kwamba mti mmoja ukikatwa, inapaswa kupandwa zaidi ya miwili.
Kupitia ombi la DRC, Japani iliamua kutoa chanjo iliyoendelezwa na kampuni ya Kijapani ya KM Biologics ... Japani inasema itatuma dozi zilizosalia kwenda DRC punde zitakapokuwa tayari.
Sababu ya pili ni utandawazi ambao unatoa fursa ya bidhaa na huduma kutoka sehemu moja ya dunia kwenda nyingine kwa njia rahisi na bila kulazimika kuwa na msimamizi. Pia, ongezeko la idadi ya watu ...
Zaidi ya watu 4,000 wamefukuzwa kutoka Marekani kwenda Mexico na serikali ya Marekani tangu Donald Trump aapishwe wiki moja iliyopita. Ni rais wa Mexico aliyetangaza hilo, akibainisha kuwa wengi ...
Mmoja wa walimu wa shule hiyo Felista Msemwa, anasema awali wazazi walikuwa hawana mwamko wa kuwahamasisha wanafunzi kwenda shule zinapofunguliwa tofauti na sasa. Anasema utoro wa mwaka 2023 na miaka ...