Baadhi ya magari ya kubebea watalii yakiwa yameegeshwa katikati ya barabara eneo la Kendwa, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Picha na Zuleikha Fatawi Unguja. Madereva wa magari ya ...
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Hemedi Suleiman Abdulla ... ipo ‘Ultra Sound’ moja haijatajwa, mliyotoa katika Hopsitali ya Kendwa ikiwa nma thamani ya zaidi ya Sh.
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla leo tarehe 27 Januari 2025 ameanza ziara ya siku mbili Visiwa vya Pemba akianzia Kusini Pemba .